Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko hutoa msaada kwa wale walioathiriwa au ambao wanaweza kuathiriwa na miradi au programu za GCF, na pia unakubali maombi ya kufikiriwa upya kwa mapendekezo yaliyokataliwa na Bodi ya GCF, kwa ajili ya ufadhili wa kifedha.
Mfumo wa Kupokekea ma Kurekebisha Malalamiko (IRM) unashughulikia malalamiko ya watu ambao wanaamini wameathiriwa vibaya au wanaweza kuathiriwa na miradi au programu zinayofadhiliwa na Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF). Pia Mfumo wa Kupokekea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) unakubali maombi ya kufikiria upya mapendekezo ya ufadhili kutoka katika nchi zinazoendelea ambayo yamekataliwa na Bodi ya GCF
Machapisho yaliyoangaziwa
IRM 2023 Annual Report
The IRM's 2023 Annual Report provides an overview of its activities in 2023 and plans for 2024.
Soma zaidiRipoti ya Kujitambua ya Mfumo Huru wa Kupokea Kurekebisha Malalamiko (IRM)
Katika “Suluhisho kwa Fedha za Maendeleo," Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) inapendekeza kwamba Mifumo ya Huru ya Uwajibikaji (IAMs) inajitathmini dhidi ya vigezo nane vya ufanisi wa Kanuni za Uongozi wa Umoja wa Mataifa juu ya Biashara na Haki za Binadamu (UNGPs). Katika ripoti hii, IRM inatoa tathmini huru ya utendaji wake dhidi ya viashiria 82 vilivyowekwa na OHCHR.
Soma zaidiMfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko: Unafungua milango ya Uwajibikaji na Kerekebisha Malamiko
Kufungua malalamiko kwenye Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko ni rahisi. Angalia kipeperusi cha malalamiko , kinayopatikana katika lugha 14 tofauti
Soma zaidiKipeperushi cha Kulipiza Kisasi
Kipeperushi cha pamoja kutoka Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) na kitengo Huru cha Uadilifu (IIU), ambapo unaweza kupata habari kuhusu hatua za ulinzi dhidi ya kulipiza Kisasi za Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF).
Soma zaidiSasisho za hivi karibuni
Endelea kupata habari mpya za Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko
Jiunge