Kipeperushi cha Kulipiza Kisasi
Ni kulipiza kisasi ni nini? na jinsi gani unaweza kuripoti ikiwa umeathirika? Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) hutoa ulinzi kupitia Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) na Kitengo Huru cha Uadilifu (IIU). Vitengo vyote vimetoa kipepeperushi cha pamoja ambapo unaweza kupata habari kuhusu kulipiza kisasi na hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kukulinda
Tarehe ya Andiko 12 Mei 2020
Aina ya Andiko
Chapisho