• Tarehe ya Video03 Februari 2021

Kwa nini kurekebisha malalamiko na uwajibikaji ni muhimu? Sauti kutoka Afrika, Asia na Pasifiki

Mnamo Septemba na Oktoba mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko Afrika, Asia na Pasifiki. Katika mahojiano na Mfumo wa Kupokea· na Kurekebisha Malalamiko (IRM), baadhi ya washiriki walitoa maoni yao juu ya umuhimu wa kushughulikia malalamiko na uwajibikaji.