Mrejesho juu ya Tukio la Kujenga Uwezo la Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) la mwaka 2020 - Sauti kutoka Afrika, Asia na Pasifiki
Mnamo Septemba na Oktoba mwaka 2020, Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko Afrika, Asia na Pasifiki. Katika mahojiano na Mfumo Huru wa Kupokea· na Kurekebisha Malalamiko (IRM), baadhi ya washiriki walitoa maoni ya kina juu ya mafunzo. Pata mafunzo ya mtandaoni ya IRM juu ya Mifumo ya Kupokea na Kurekebisha Malalamiko.