Kesi C0007 ya Pakistani
Kesi C0007 ya Pakistani
Mnamo Agosti 2021, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulipokea malalamiko yanayohusiana na kesi FP018. Mlalamikaji aliibua dukuduku ya kwamba ada iliyotakiwa kulipwa kwa mlalamikaji (walalamikaji) haikulipwa licha ya kukamilika kwa kazi chini ya mkataba wa ushauri walioweka kati yao na taasisi iliyothibistishhwa ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Katika mkutano wa kimatandao na mlalamikaji (walalamikaji), IRM ilipata taarifa zaidi kuhusu mkataba wa mlalamikaji (Walalamikaji) na kuieleza mamlaka ya IRM. Katika hatua yake ya uamuzi wa ustahiki, mlalamikaji (walalamikaj ) aliandika andiko kwa IRM mnamo tarehe 26 Agosti na kuondoa malalamiko.
Maelezo ya kina ya mradi
| Maeneo ya matokeo |
|
| Kundi la hatari |