Ripoti ya Mwaka 2020 ya Mfumo Huru wa Kupokea na· Kurekebisha Malalamiko (IRM)

Jalada la Andiko la Ripoti ya Mwaka 2020 ya Mfumo Huru wa Kupokea na· Kurekebisha Malalamiko (IRM).
Kupakua
| Kiingereza | PDF 6.32 MB

Ripoti ya Mwaka 2020 ya Mfumo Huru wa Kupokea na· Kurekebisha Malalamiko (IRM)

Ripoti ya Mwaka 2020 ya Mfumo Huru wa Kupokea na· Kurekebisha Malalamiko (IRM) hutoa sasisho za kina kuhusu kazi ya Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebiha Malalamiko (IRM) katika mwaka 2020 na mipango yake ya baadaye ya mwaka 2021. Licha ya kuwa mwaka wenye changamoto, Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) umeweza kufikia mpango kazi wake wa mwaka 2020 na umefanya marekebisho· bunifu ili kukabiliana na changamoto za Uviko-19.

Tarehe ya Andiko22 Februari mwaka 2021
Aina ya Andiko Chapisho