Kesi C0007 ya Pakistani
Kesi FP018: Kupunguza hatari Kaskazini mwa Pakistani kwa Kuongeza vipimo vya Mafuriko Kupusua (GLOF).
Kesi C0007 ya Pakistani
Mnamo Agosti mwaka 2021, IRM ilipokea lalamiko liliohusiana na kesi FP018. Mlalamikaji au walalamikaji waliibua dukuduku la kwamba ada iliyotakiwa kulipwa kwa mlalamikaji au walalamikaji haikulipwa licha ya kukamilika kwa kazi ya ushauri iliyowekewa mkataba kati yao na taasisi iliyothibitishwa ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Katika mkutano wa kimtandao na mlalamikaji au walalamikaji, IRM ilipata taarifa zaidi kuhusu mkataba wa mlalamikaji au walalamikaji na kuieleza mamlaka ya IRM. Wakati wa hatua yake uamuzi wa ustahiki, mlalamikaji au walalamikaji waliiandikia IRM mnamo tarehe 26 Agosti na kuondoa malalamiko. Vivyo hivyo IRM ilifunga kesi hiyo mnamo tarehe 26 Agosti 2021.
Hali ya kesi
Fungua
Tarehe 12 Agosti 2021
Uhalali / Uchunguzi wa Awali
Imefungwa
Tarehe 26 Aug 2021 - Kuondolewa
Mlalamikaji
Hali halisi ya madhara iliyotolewa
Sera za Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi (GCF) zilizoibuliwa
Uwekaji kumbukumbu
Kichwa cha habari | Matoleo |
---|---|
Ripoti ya kufunga |
KIINGEREZA |
Maelezo ya kina ya mradi
Namba ya mradi | FP018 |
Kichwa cha habari cha mradi | Kupunguza hatari Kaskazini mwa Pakistani kwa Kuongeza vipimo vya Mafuriko Kupusua (GLOF). |
Mada | Kujibadili |
Nchi | Pakistani |
Mkoa | Asia-Pasifiki |
Taasisi au shirika lililothibitishwa | Programu ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa |
Maeneo ya matokeo |
Afya, chakula, na usalama wa maji
Riziki za watu na jamii
|
Kundi la hatari | Kundi B |