Vyombo mbalimbali vya mawasiliano
Vyombo mbalimbali vya mawasiliano
Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) hutoa rasilimali mbalimbali za vyombo mbalimbali vya mawasilinokwa wadau wake, ikiwa ni pamoja na video zinazoelezea jukumu lake na kazi, pamoja na usahili inaoufanya na washiriki wa mipango yake mbalimbali ya kujenga uwezo.

IRM's "Road to Redress" Board Game
December 2023
The IRM addresses complaints by those affected or who may be affected by GCF projects or programmes. To help possible complainants and other stakeholders better understand the IRM's complaint handling process, we created the "Road to Redress" board game. For more on the Road to Redress: https://irm.greenclimate.fund/news/road-redress-irm-launches-new-board-g... English Español

Lessons from the 2023 IRM Rwanda workshop
September 2023
In July 2023, the IRM hosted a capacity building and outreach workshop. In this video, the IRM interviews participants about their experience. For more on the workshop: https://irm.greenclimate.fund/news/irm-and-iiu-collaborate-joint-capacit...

COP27: Safeguarding Indigenous Peoples from the adverse impacts of climate finance projects
November 2022
This side event at COP27, co-hosted by the Center for International Environmental Law (CIEL), the Indigenous Peoples' International Centre for Policy Research and Education (Tebtebba) and the Independent Redress Mechanism (IRM) discussed how Indigenous Peoples have been impacted by large-scale climate finance projects, and how grievance accountability entities like the IRM have helped provide recourse to Indigenous Peoples and others who have been affected by development projects.

IAMnet webinar kwenye zana ya tathmini ya kibinafsi ya OHCHR
April 2022
The Secretariat of the Independent Accountability Mechanisms Network (IAMnet), in collaboration with the Independent Redress Mechanism (IRM) of the Green Climate Fund (GCF), hosted a webinar on the OHCHR’s "Self-Assessment for IAMs”. During the webinar, Mac Darrow, Representative, Washington DC, Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights (OHCHR), presented the rationale behind the Self-Assessment Tool and the IRM/GCF shared the assessment method it used and the utility of...
IRM Community-Company Mediation Training: Equatania Fictional Complaint Case
Februari mwaka 2021
This video was used as a case study during the IRM's virtual course on “Company-community mediation in complex environments." The course introduced participants to the fundamentals of company community mediation – analyzing conflicts and/or challenges and the range of possible approaches to resolving them; developing clearer and more constructive mediation mandates; better monitoring and evaluation of individual mediations; and continuous learning from experiences for systemic improvement.
Mrejesho juu ya Tukio la Kujenga Uwezo la Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) la mwaka 2020 - Sauti kutoka Afrika, Asia na Pasifiki
Februari mwaka 2021
Mnamo Septemba na Oktoba mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko Afrika, Asia na Pasifiki. Katika mahojiano na Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM), baadhi ya washiriki walitoa maoni ya kina juu ya mafunzo. Pata mafunzo ya mtandaoni ya IRM juu ya Mifumo ya Kupokea na Kurekebisha Malalamiko.
Kwa nini kurekebisha malalamiko na uwajibikaji ni muhimu? Sauti kutoka Afrika, Asia na Pasifiki
Februari mwaka 2021
Mnamo Septemba na Oktoba mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko Afrika, Asia na Pasifiki. Katika mahojiano na Mfumo wa Kupokea· na Kurekebisha Malalamiko (IRM), baadhi ya washiriki walitoa maoni yao juu ya umuhimu wa kushughulikia malalamiko na uwajibikaji.
Thamani ya kuunda jamii shirikishi ni ipi? Sauti kutoka Amerika ya Kusini na Karibea
Januari mwaka 2021
Mnamo Julai mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko Amerika ya Kusini na Caribbean. Katika mahojiano na IRM, washiriki wengine walitoa maoni yao juu ya umuhimu wa kuunda jamii shirikishi. Video hii inapatikana pia katika lugha ya Kihispania.
Mrejesho juu ya Tukio la Kujenga Uwezo la Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) la mwaka 2020 - Sauti kutoka Amerika ya Kusini na Karibea
Desemba mwaka 2020
Mnamo Julai· mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko· Amerika ya Kusini na Caribbean. Katika mahojiano na IRM, washiriki wengine walit juu ya oa mrejesho wa kina juu ya mafunzo hayo. Video hii inapatikana pia katika lugha ya Kihispania.
Uviko-19 na athari zake kwa mfumo wa kurekebisha malalamiko - Sauti kutoka Amerika ya Kusini na Karibea
Novemba mwaka 2020
Mnamo Julai· mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko· Amerika ya Kusini na Caribbean. Katika mahojiano na IRM, washiriki wengine walishirikisha maoni yao juu ya namna Uviko-19 ilivyoathiri kazi ya Mifumo ya ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs).Video hii inapatikana pia katika lugha ya Kihispania.
Kwa nini kurekebisha malalamiko na uwajibikaji ni muhimu? Sauti kutoka Amerika ya Kusini na Karibea
Novemba mwaka 2020
Mnamo Julai· mwaka 2020, Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko (IRM) ulitoa mafunzo ya mtandaoni kwa wafanyakazi wa Mifumo ya Kurekebisha Malalamiko na Uwajibikaji (GRMs) ya Taasisi au Mashirika yanayofikiwa· Moja kwa Moja (DAEs) ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) iliyoko Amerika ya Kusini na Caribbean. Katika mahojiano na IRM, baadhi ya washiriki walishirikisha maoni yao juu ya kwa nini Kurekebisha malalamiko na uwajibikaji ni muhimu. Video hii inapatikana pia katika lugha ya Kihispania.
Ni wakati gani na ni kwa jinsi gani unaweza kuwasilisha malalamiko kwa Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) ?
Machi mwaka 2020
Video hii inakuongoza kupitia michakato ya kufungua malalamiko kwa Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) na aina za majibu ambayo unaweza kutarajia. Jifunze zaidi kuhusu kazi ya Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM). Video hii inapatikana pia katika lugha zifuatazo: Kihispania | kifaransa | kireno | Kiarabu| Kimongolia
Kwa nini Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Malalalmiko (IRM) ni muhimu?
Februari mwka 2020
Wakati mwingine, miradi iliyoundwa vizuri inaweza kuwa na matokea yasiyotarajiwa. Video hii, inatoa maelezo ya jumla ya kwa nini Mfumo wa Kupokea na Kurekebisha Malalamiko ni muhimu kwa mafanikio ya miradi ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijania (GCF). Video hii, inapatikana pia katika lugha zifuatazo: Kihispania| Kifaransa | Kireno| Kiarabu | Kimongolia