Mafunzo ya Upatanishi kati ya kampuni na jamii ya Jumuiya ya Mfumo Huru wa Kupokea na Kurekebisha Mlalalmiko: Kujenga uwezo wa taasisi au mashirika yanayofikiwa moja kwa moja ya Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi ya Kijani (GCF) kushughulikia malalamiko katika mazingira magumu